Kweli hakuna matata! Mazingira kwa kiswahili
Mazingira kwa kiswahili
Jua la manjano
huangaza sana;
mawingu meupe
yaelea angani -
anga ni
bluu
na mzuri sana.
Kijani kibichi
ni laini na tafsuri.
Hakuna matata, mpendwa
wangu!
Maisha marefu upendo,
mpenzi
wangu!
Свидетельство о публикации №226091801805