Hii ni rahisi! Shiir kwa kiswahili

HII NI RAHISI!
Shiir kwa kiswahili


Maisha ni furaha,
Furaha ni upendo -
Maisha marefu upendo!
Maisha marefu furaha!
Maisha marefu maisha!

Furaha ni upendo,
Upendo ni familia:
Mama na baba -
Maisha marefu familia!
Maisha marefu upendo!
Maisha marefu furaha!

Jambo, furaha! -
Karibu...
Sasa, furaha! -
Karibu...
Mambo, furaha! -
Karibu...

Hakuna matata, hakuna matata -
Asante sana, furaha;
Hakuna matata, hakuna matata -
Asante sana, upendo;
Hakuna matata, hakuna matata -
Asante sana, maisha...

Asante Mungu!
Hakuna shida, hakuna shida -
Asante sana, familia...
Asante Mungu!


Рецензии