Hii ni rahisi sana! Shiir kwa swahili
Shiir kwa swahili
Maisha ni upendo,
Upendo ni furaha,
Furaha ni familia,
Familia ni wazazi -
Wazazi ni maisha.
Wazazi ni mama na baba:
Mama ni mama mwenye upendo -
Mama ni maisha,
Baba ni baba mwenye upendo -
Baba ni maisha.
Maisha ni upendo mama,
Maisha ni upendo baba -
Maisha ni mama na baba;
Wazazi ni upendo -
Upendo ni maisha,
Asante Mungu!
Hii ni rahisi sana:
Wote bila wasiwasi,
Hakuna matata,
Sawa...
Свидетельство о публикации №226091901750