Paka dume na Paka-kaya

PAKA DUME NA PAKA-KAYA.
(Upendo? Upendo!)


Shikamoo - sasa au lala salama!
Ninataka kukuambia jambo fulani kwa kiswahili
(Situpiani lawama ikiwa unafanya pia -
Hii sio nzuri, lakini hii ni hii!)
Ninataka kukuambia jambo fulani kwa upendo...

Upendo ni kama upepo, huwezi kuona,
Lakini unaweza kuhisi hivyo; na
Upendo unaleta furaha na urafiki -
Maisha marefu upendo!
Upendo ni maisha...

Paka dume.
Paka dume huyu anahitaji nyau,
Paka dume anataka paka-kaya:
Anataka nini? -
Anataka chunga-changa,
Au anataka upendo? -
Hii ni upendo? Hii ni upendo!
Hii ni ajabu, na
Maisha marefu upendo!

Paka-kaya.
Paka-kaya huyu anahitaji nyau,
Paka-kaya anataka paka dume:
Anataka nini? -
Anataka chunga-changa,
Au anataka upendo? -
Hii ni upendo? Hii ni upendo!
Hii ni ajabu, na
Maisha marefu upendo!

Neno la Paka dume:
"Nakupenda, Paka-kaya!" -
Nimefurahiya tu,
Hii ni nzuri: hakuna matata, au wote bila wasiwasi -
Niilipenda sana!

Neno la Paka-kaya:
"Nakupenda, Paka dume!" -
Nimefurahiya tu,
Hii ni nzuri: hakuna matata, au wote bila wasiwasi -
Niilipenda sana!

Neno la roho yangu:
"Furaha ya maisha ni upendo."

Neno la Paka dume:
"Mtoto, wewe ni furaha yangu!
Nakupenda, Paka-kaya."
Neno la Paka-kaya:
"Unaongea nami kwa maneno mazuri."

Neno la Paka-kaya:
"Mtoto, wewe ni furaha yangu!
Nakupenda, Paka dume."
Neno la Paka dume:
"Unaongea nami kwa maneno mazuri."

Neno la roho yangu:
"Furaha sio kitu kulochoundwa tayari.
Inakuja kutoka kwa matendo yako."

Mambo mengi ya kuvutia:
Paka dume na paka-kaya;
Furaha na urafiki;
Upendo na maisha...

Na hii ni wote -
Kila kitu kiko sawa,
Asante sana Mungu...
Nakutakia kila la kheri!
Usiku mwema.







 


Рецензии